Monday, April 3, 2017

TUNASHUKURU ZOEZI LILIKWENDA SALAMA LA USAFI KATIKA SOKO LA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM. TUNATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA UONGOZI MZIMA WA SOKO KWA KUTUAMINI NA USHIRIKIANO WALIOTUPATIA.

USAFI KATIKA SOKO LA KIGOGO UKIENDELEA NA KUSIMAMIWA VIZURI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA FIVE BM COMPANY LIMITED.

VIONGOZI WAKIJADILIANA KWA KINA JUU YA SHUGHURI IENDELEAYO

USAFI KATIKA SOKO LA KIGOGO UKIENDELEA NA KUSIMAMIWA VIZURI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA FIVE BM COMPANY LIMITED.

USAFI KATIKA SOKO LA KIGOGO UKIENDELEA NA KUSIMAMIWA VIZURI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA FIVE BM COMPANY LIMITED.

MWENYEKITI WA SOKO LA KIGOGO MR GODLUCK GUSOMA (KATIKATI) AKIWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA FIVE BM COMPANY LIMITED KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZIKA KWA SHUGHURI YA KUJITOLEA KUSAFISHA KATIKA SOKO LAO.

Share:

.

.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.